MJAMAA UKO MAWABA!

hii ni ile story ka vile...
Ngware unarauka kupiga mawaba,
kunyam na kutoklezea mtaani yaani,
hustle ya siku mzuka kujua,
katashika ama utashikwa,
katajipa ama utalipa!
kiasi hivi ishajipa

wasee wako wapi? base wakishughulika
Haya mchache makali
ni teke teke juu mututho ako rada
stori na ngori, kidogo kiasi wadada na mawadada
msee muadhara!

sista asha-ingizwa msosi ni take away
keroma ni kutingwa
Uki-kaa winchi winchii, kwa teii mchele!
maganji ushachunwa,nangos rahani na ma-lights kuzima,
mdihe ni mwenda na magwan wame-muka
NA MJAMAA , UKO MAWABA!"

No comments: