Mtaani yaani....

Ni ka vile kuko,
ndio vile kutakua,
ka jana ni leo...
basi leo ni kesho

mtindo ya daily,
kurauka, kusakanya
kuwakuta ma smatta

na hata mkwanja
haitoshi jamaa,
kejani tena kudunga

baadaye keroma,
mabanga kwa kona ni noma,
paha paha chini ya majima,

vyohi vyohi
mchache mchache
katashika hadi che?

ni ka vile kuko,
muadhara
daily clutch iko ndani
jus in case!

No comments: