Mbona Haukuniambia?

Mbona Mum, haukuniambia?
Juu kila siku tulivumilia,
Pamoja-hata juu ya ugali na cabbage,
Siku mob, tulikula hio tu/
Nilijua haikua Sawa,
So sometimes nilitaka-
Ku step-up ka man,
Juu dad ni ka hakua!
Na hapo,
Nili-blunder,
Mara mob...

So me I observed,Nikajaribu kutengeneza,
So I grew up fast,

Unakumbuka Ile shirt nili-print,
TROUBLE TK?
ukaniuliza Kwanini TROUBLE?

IMAJINE, hata Sai sijui,
Ilitoka tu!

Lakini,
mbona haukuniambia?
Vile kulikua,

Sai, najua Kwanini,
Na-jaribu,
To cast a different shadow,
Sio ile ya mbuyu...
But yangu,

Na sio easy,
But am not quitting ma!
Tho daily Nataka...
But nina subira mum,
Na kamba, ya kuvuta heri,

Najua Sasa dad pia,
Nilikua na meditate sometime,
Me na wewe tukiongea tu,
Wewe ukisema,
Na me nikiskia!

Sometimes I feel the dark cloud,
Hapa juu,
But I try shine,
The only true light I know,

Mbona haukuniambia Dad?
Kwanini all over sudden,
Ulikua MIA,
Nilijaribu ku-fit kwa your shoes but-
-So many moving parts,

Shule ilikua tricky,
Kwanza visiting day!
Kila Mtu akipatana na watu wao,
Sisi tulikua tu...

But we understood,
What worried me,
was my precious sisters,
Juu ni Ma-dame...
nakumbuka niki-meditate,

-tumeenda visiting na prado!

Nakumbuka, tu-kihassle Ma!
Ndio uende visiting yao,
na at least, tu-chapo!

What I learnt from you ma,
Will never leave me,
So najua...
Ulikua Dad na Mum,
At the same time...

Najua mum,
Najua Dad,

Kwanini haukuniambia!

No comments: